Kuhusu Net Simulizi
Net Simulizi ni jukwaa la kusoma na kugundua hadithi mbalimbali kwa Kiswahili na English. Tunawaleta pamoja wasomaji na waandishi katika sehemu moja yenye hadithi za aina mbalimbali.
Sisi ni nani?
Net Simulizi
Net Simulizi inalenga kujenga mazingira bora kwa waandishi wa hadithi na wasomaji. Wasomaji wanaweza kugundua hadithi mpya, kuhifadhi hadithi wanazozipenda na kuendelea kusoma walipoishia.
Waandishi wanaweza kuchapisha kazi zao kupitia mfumo wa Net Simulizi baada ya kupitia mchakato wa uthibitishaji na idhini.
Tunachokupa
Hadithi mbalimbali
Gundua hadithi za mapenzi, drama, fantasy, mystery, action, horror na aina nyingine.
Maktaba yako
Hifadhi hadithi unazozipenda ili uweze kuzirudia wakati wowote.
Endelea kusoma
Mfumo unakusaidia kuendelea kusoma kutoka sehemu uliyofikia.
Lugha mbili
Chagua Kiswahili au English kulingana na lugha unayopendelea kutumia.
Waandishi
Tunatoa nafasi kwa waandishi kuwasilisha kazi zao kwa wasomaji.
Ulinzi wa kazi
Tunajenga vipengele vya kusaidia kulinda kazi za waandishi dhidi ya matumizi yasiyoruhusiwa.
Mwanzilishi / Mwandishi
Net Simulizi kwa ufupi
Tembelea
Dira yetu
Dira ya Net Simulizi ni kuwa jukwaa linalosaidia kukuza utamaduni wa kusoma na kuandika hadithi, huku likiwapa waandishi nafasi ya kufikia wasomaji wengi zaidi.